KARIBU TUPASHANE HABARI COLLEGE

Kwa elimu bora ya uandishi wa habari na utangazaji, lakini pia tunajivunia kutoa elimu ya UJASIRIAMALI itakayo wawezesha wanafunzi wetu kujiajiri pindi watakapo maliza masomo yao.

TUPASHANE HABARI COLLEGE

Tuna studio za kisasa TV na RADIO zitakazowawezesha wanafunzi wetu kujifunza kwa vitendo na kuwajengea uwezo mkubwa katika tasinia ya undishi wa habari na utangazaji.

TUPASHANE HABARI COLLEGE INA MAKTABA YA KISASA

Maktaba hii ni kwaajili ya wanafunzi wetu, waweze kujisomea na kujiongezea maarifa katika maswala mbalimbali ya kimasomo na hata nje ya masomo tunayowafundisha.

TUPASHANE HABARI COLLEGE

Tunatoa mafunzo kuhusu matumizi ya kamera za kisasa ,kuhariri video mbalimbali,kama vile vipindi vya TV vya aina zote. n.k

TUPASHANE HABARI COLLEGE

The mission of TUPASHANE HABARI COLLEGE (THC) is to provide high quality education in the field of the Media studies, International relations and business management with significance focus on Journalism and Broadcasting.

TIMIZA NDOTO YAKO NA TUPASHANE HABARI COLLEGE

Tutahakikisha unatimiza ndoto yako, usibaki nyuma jiunge na wengine katika njia ya mafanikio katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji TUPASHANE HABARI COLLEGE.

Subscribe to: Posts (Atom)
ABOUT TUPASHANE HABARI COLLEGE TANZANIA.

TUPASHANE HABARI COLLEGE.(THC) is a private educational institution located at KILIMANJARO region. The college being a limited liability organization and profit seeking organization is headed by Board of Directors. The Directors are the highest level of the college management.

To date, the college has been conducting educational Journalism Studies in compliance with the DIGITAL standards. The college provides Journalism program at NTA Levels 4 – 6. The college has modern physical structures of its own designed to accommodate a number of sections, administrative offices, canteen, staff room, girls and boys dormitories/hostels, and security room.

The college intends to set high standards in moral discipline and academic performance that serves as a reference both nationally and internationally. The college is financed by the shareholders who have raised funds which put up buildings, recruited staff, acquired computers, books, cameras, and scholastic materials.

The college is running with minimum external funding, the college is very viable business basing on the budgeted income statements. In academic performance, it is planned that the college will be one of the top Colleges offering Certificates and Ordinary Diploma in Journalism industry.

This will be through application of effective teaching delivery methods, approved curriculum,admission of quality students and employment of highly qualified, experienced and well-motivated teaching and non-teaching staff. The college is strategically located and has the full support of the Board of Directors, Authorities, parents and the communities at large. Since the college is offering and continues to offer market driven courses, that are affordable; its graduates will and have become job creator rather than job seekers.

The college is located at Chekereni Mabogini Moshi Dc Kilimanjaro . The college can be reached on variable costs by tax, motorcycle, public transports (daladala)Bajaji or by using private transport.